Duration 3:27

Dada yangu hajataka niolewe sijui ananiona Bikra bado - SHILOLE

96 129 watched
0
451
Published 12 Dec 2017

Category

Show more

Comments - 113
  • @
    @rehemashafi48097 years ago Hongera shishi mungu akuweken ktk ndoa yenu. 1
  • @
    @ckukuu84047 years ago Shishi nakupenda ww ujue yani tulia tu na ndoa yako. +254 mombasa. 18
  • @
    @elizabethmwandu2877 years ago Hongera sana shilole yaani nakupenda sana unaongea vitu vya maana sana. 13
  • @
    @mamual-habsi42667 years ago Ma sha allah mungu awarindiye maisha ya ndoa dd ynguu.
  • @
    @ladyyaju7 years ago Hongera shishi trump. Ila dini inasema ficheni posa zenu zihirisheni ndoa zenu kwaiyo harusi haifichwi inofichwa posaa. 8
  • @
    @alimaalima60166 years ago Maamuzi mazuri sana uliyojiamulia allah akupe upendo na mumeo daima.
  • @
    @mejumaaathman44856 years ago Shishi dadang nakupenda buree kwanza unapoongea kingereza, takaway na tokonolojia ndo kabisa. 2
  • @
    @ladyhladyh8127 years ago Mashallah shishi allah akujalie udumu kwenye ndoa yako.
  • @
    @julianakafuruki24957 years ago Happiness is ol wat life z meant. Be happy shishi life is too short.
  • @
    @rhinaregina58067 years ago Good wishes for your party and congratulation for marriage.
  • @
    @hongerakkachawasemewwkzbut49967 years ago Penda shishi bebe kama joti na hongera sana shishi bebe.
  • @
    @maryrichard47167 years ago Shilole bwana hiyo sayansi na teknolojia ulivyoitaja tu had inapendeza. 10
  • @
    @minahjumaa44717 years ago Ilov you shishi kwann walikunyima shule jamn.
  • @
    @blacknature76377 years ago Ma ustadh huwo hawa kukwambia iyo shingo wazi mh.
  • @
    @leiylaomar93187 years ago Eti sijui bado ananiona bikra hahaha nimecheka mm. Umefanya vzr kuolewa shishi. Allah awajalie maelewano katika ndoa yenu inshaallah mabrouq.
  • @
    @saumuhassan13657 years ago Shishi nakupenda na shekhe kakushaur vizur sana, na vizur umesikiliza ushaur na napenda interview zako unaongea true.
  • @
    @angelklistofa49147 years ago Nice sana mpend mumeo japo hana kitu mung atakufanyia wepes.
  • @
    @kelvinchaula22037 years ago Hahaaa shilole
    bikra leo tuxhavunja.
  • @
    @khloealfan79247 years ago Utulie dada angu. Wambea waumbuke fyuu. 3
  • @
    @nurungangise98407 years ago Yani nilikuwa najua ile ulosemaga kuwa utafanyia juu ya ndege haa dadmm nomaa.
  • @
    @nafisamohamad31827 years ago Inshallah ntakuja shishi bora usiweke kadi tu.
  • @
    @zamzamhamisi73327 years ago Shishi nakupenda bureee bila hata ndururu.
  • @
    @victoriachesco28336 years ago Uwiii ahhh jmn km mty hujui bc unyamze shishii uclzimishe kizungu ongea lugha yako we ni mtanzania jivunia lugha yko.
  • @
    @joowzeymashine19887 years ago Wa2 watafngia chakula kwenye taka way. 20
  • @
    @rahimajuma6887 years ago Taka way ha shishi bwana unanifurahisha sn.
  • @
    @is_hakaalihamad56107 years ago Ndoa inatangazwa ila posa ndo haitangazwi. 2
  • @
    @shaniatwilka50637 years ago Shishi na kupenda balaa ume nichekesha sana.
  • @
    @sayrachuna67057 years ago Ndoa kitu adhim mwwnzangu bora umejiolewea kaa utulie watu wanakesha makaburini kusaka ndoa.
  • @
    @saidsaid94636 years ago Shishi kiboko sayansi natokonojia hahaha yaani huyu comedia.
  • @
    @seifmohamedseif93847 years ago Hahaha anakuona bikra hajui km umemaliza yote na umeshindikana. 6
  • @
    @nafisamohamad31827 years ago Hapo kwa taka way sasakweli njia ya taka ubebe pipa zima.
  • @
    @selincharles33837 years ago Shish umetisha. Ila kadi unipe tu ili nije na beseni la kubebea misosi.
  • @
    @marryjoseph3627 years ago Dar jamaa kalamba jike la kinyamwez atachomoka kwel! Hongera shish trump.
  • @
    @saleheally11537 years ago Munapoteza maadili kuiga vitu vya wazungu na uyo uchebe mwanachuo elimu ya dini anayo akumbuke kila mtu ni mchunga ataulizwa kile alichochunga asilewe na mapenzi ya dunia simfundishi bali namkumbusha. 5
  • @
    @neemapatrick15417 years ago Achana na huyo dada yako anakuonea wivu. 7
  • @
    @annymsupa51757 years ago Mwanamke kujiamini kuchaguliwa wanaume hio ilipitwa nawakati big up shishi.
  • @
    @valentinamussa42127 years ago Taka way, iko poa umejitahidi mwaya, huyo dada ako amezoea vizawadi sasa anaona ukiolewa mme atakaba. Nafasi,
  • @
    @robertabell90087 years ago Kumbe tumeingia karne nyingine, inaitwaje hii karne mpya @shishibaby?
  • @
    @bestmilltz70717 years ago Sema nn, sikuizi huwa mnatumika kabla ya ndoa hivyo hakuna sababu ya hyo an mun.
  • @
    @ussikhamisussi48827 years ago Any way! Kama unasema umekuwa sasa, ule upuuzi wako wa kuoneshana mikundu kiholela uishe kama umetulia kweli mauono na manyago mengine fanya room ukiwa na mumeo.
  • @
    @abdulmjeeb48727 years ago Usirudie kujiita nyani wakati huna mkia.
  • @
    @aminakshamoona69007 years ago Wa2 watafungiwa chakula kwenye take away penda sanaa shishi anakuonaga wee bikra u don know.
  • @
    @saidimakassy39677 years ago Mtume anasema msitangaze uchumba tangazeni ndoa amekosea kujieleza.
  • @
    @taturamadhan59407 years ago Ustadh wako hajasoma uchumba hautangazwe ila ndoa inatangazwa hivyo dini ndivyo ilivyosema.
  • @
    @aminaabuu7557 years ago Shishi me natamani siku umukamate nuh umudundee mpka ashike adabu sijapenda anavyoo kuharibia kuongea na maneno yake yakejeli kila siku mitandaon na id="hidden4" watu wanavyo yakuza mpka siyoo pouwa siku mkamate umunyoishe kisawa sawa kama kioindikilee mpka ashike adabu yau yule. ...Expand 5
  • @
    @hemedytz30136 years ago Jaman ss tunaimba ilasapot hakuna 0655177067.
  • @
    @abdulmjeeb48727 years ago Unamatatizo wewe na kujinasibisha na uislaam siuache tu ukabaki kuitwa shihi? Et zamani ukiolewa lazima ubaki siku saba leo imabadilika
    mh uislaam faham kubaki siku saba nisunna kwa mume lakin mwanamke nizaidi ya saba labda kwa dharura za kikazi hapo utakaa saba tu mwanamke. ...Expand
  • @
    @mumcorp55267 years ago Waaoh shish maskini wa leo tajiri wa kesho. Huyo dada yako alikua anapenda xan uendelee kuzin inna lillah waina.