Duration 22:32

FEISAL SALUM (FEI TOTO): AKIRI KAGERE NDIE MCHEZAJI BORA LIGI KUU/ SAFARI YA ULAYA IPO PALE.

491 795 watched
0
1.6 K
Published 13 Jun 2019

Kiungo wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Feisal Salum (fei toto) akikiri kagere ndie mchezaji wake bora ligi kuu Tanzania bara. na amefunguka juu ya kwenda kucheza mpra Ulaya #safarindioinaanza #sports

Category

Show more

Comments - 261
  • @
    @ashuramhandoashuramhando67982 years ago Safi sana tunakupenda Fey ndo maana uliposema unatoka Yanga tumeropokwa sana tusamehe mashabiki zako🙏🙏💚💛💚💛
  • @
    @bonykaro90975 years ago kipaji kinajionesha kama wwe ni mtanzania na unamtakia makubwa fei, na unamwona ulaya fei gonga like 75
  • @
    @mohammedjumakhamis81515 years ago Asante fey Toto kweli broo usitake vya haramu piga kaz uje uchukue mke moja kwa moja 11
  • @
    @mohamedkhamis11405 years ago Allah ukusimamie kwa kila hatua na Allah akujalie uwende ulaya na ucheze tim kubwa kama Chelsea au manchester Allah akujalie feisal amin 40
  • @
    @omarisarai98052 years ago Amunike ni Mwalimu mzuri,ana imani una uwezo Kijana wa kucheza soka popote ulimwenguni,juhusi zaidi , napenda confidence yako,Mola akujalie mengi mazuri Inshallah
  • @
    @mahmoudaziz47174 years ago Big up fei Toto we mkali alafu unajua sana😄🇹🇿🇹🇿. 2
  • @
    @athumangullam38545 years ago shukrani za pekee ziende kwa uongozi wa simba kutupelekea fundi wetu chang'ombe ili kusaini mkataba Jangwani. 11
  • @
    @muhakizungu11185 years ago Unajuwa kaka Fei toto jikaze2 ww utafika one love 3
  • @
    @feisalmohamed11025 years ago Kenyan fan hapa mashallah....very talented player hope the best for him sisi wakenya anatukumbusha Jamal Mohamed...very skilful player and entertains the crowd...hoping the best for fei toto kwa Afcon...he deserves to be playing in la liga Spain...lakini bado taifa stars tutawachapa 😂😂😂 ... 6
  • @
    @treasurelamax35263 years ago Kuwa makin fei mungu awe na ww ,by naah 2
  • @
    @verosteve36122 years ago 🤣🤣🤣🤣🙌 fei kiboko et kiukwel nikawakimbia .. inaonekan we shabik Wa yanga toka kitambo🤣💚 thanks for coming yanga we love you 💚
  • @
    @halfahalfa97285 years ago Kuna wachezaji ni vipenzi vya kila mpenda mpira na hata baadhi ya Mashabiki wa mpira
    Mmoja wao ni FEI TOTO, IBRAHIM AJIB
    Yote ni sababu ya vipaji vyao
    9
  • @
    @sahimalbatawy33725 years ago One chance one gool km umeskia ii kaul gonga like 2
  • @
    @wilonjahatua20675 years ago Kama unaamin fei toto hatafika mbali sana acha majungu na wivu gonga like yako hapa 15
  • @
    @rizikipiuss87575 years ago Mchezaji mzuri Sana'a ilaapunguze hasira akiwamchezoni 3
  • @
    @whitesonmwakabanje64673 years ago Safi sana feisa fei Toto Mimi mwana msimbazi likini we unajuwa mpira kwakusema uharisia kwa medie kagere
  • @
    @daudkhatib813 years ago Hiliiii totoo bwannaaa linatuwakilishaa vizurii wazanziibarii na Zanzibar
  • @
    @treasurelamax35263 years ago Mmmh umeanz mbal had raha ety,! By Naah
  • @
    @elifidowilliumofficial46913 years ago mimi ni shabiki wa simba ila mdogo wangu anajuaa na anaweza kwenda mbali zaidi 1
  • @
    @faizaahamd20524 years ago Feisal waooo yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeee.
  • @
    @sumaoochu12945 years ago fei toto nakukubali sana mwana jitahidi kufuata nyayo zetu ndugu yangu utafika mbali 1
  • @
    @njolejr31705 years ago Dogo nakukubali sana natamani msimu ujao Kocha akuchezeshe kwenye nafasi yako halisi ili nifaidi burudani yako 4
  • @
    @ismailjuma36925 years ago Mjomba kua makini na timu za bongo usijekulewa sifa kaza buti usonge mbele usiridhike na simba na yanga ukajakuzeekea hapo jitahidi usonge mbele ututoe kimasomaso wa ZANZIBAR 6
  • @
    @josephmalimi58983 years ago Wachezaji wenye vipaji vikubwa muda wote wanasmile2 ...nakubari fundi Toto.. 1
  • @
    @jesebayo56455 years ago Wametuletea fundi menyewe kirohoo safi mikia bhana dah 12
  • @
    @songeelikana9644 years ago Dogo we ni fundi jiamini pia umri wako bado najua utafika mbali mungu akusimamie 1
  • @
    @eliudkapinga79915 years ago Dogo uko vizuri Sana ila punguza rafu uwanjani fey toto 1
  • @
    @hassanmaganga15445 years ago Kikubwa dogo ni kujituma tu na kutocheza na jukwaa wengi wachezaji wa kibongo wanavimba sana pale wanapofikia kucheza yanga au simba 3
  • @
    @jumanneyakobo41904 years ago Fei Toto ubalikiwe sana Manungu zaidi kulinda kipaji chako
  • @
    @gidaimataso20644 years ago Feisal baba laoooooooooooooooooooooooooooooooo
  • @
    @mudhihirothman58265 years ago Mchezaji mzuri saan wewe napenda kazi yako 4
  • @
    @jumaadamxela75133 years ago KWA maelezo ya feitoto jnaonesha wazi kabisa kuwa Ana kiu ya kufika mbali hatazami nyuma Mara atakapo pata nafasj ya kwenda nje ya afrika,:
  • @
    @abbiecox15 years ago DUH ILA YULE MNYAMA ALIYETUPIGAA GOLI LA PILI ILE SURA ILIMTISHA DOGO KASHINDWA KUCHEZA MPIRA. ILA TARENTED AKICHEZA YANGA TIMU YA TAIFA AMECHEMKA YEYE PAMOJA NA WACHEZAJI WENGINE WA TZ 2
  • @
    @simongalahenga68584 years ago Kweli kuhusu Zhahela umesema kweli Mimi bado namkumbuka
  • @
    @sniperboy70984 years ago Huyu jamaa anaujuwa fundi kutoka Zanzibar ila namkubali sanaa
  • @
    @shabymaji65154 years ago Fei upo vizur mdogowangu ila nakusii uachekabisa ubishoo cheza ujitume utafk mbar
  • @
    @saidabdillahi81073 years ago Nategemea mpaka kesho hawajakumalizia pesa zako za usajili hao ma utaondoka unawadai
  • @
    @sniperboy70984 years ago Kumbe mikiya walimtaka ila mutamsahau akilimaliza mkataba tunampeleka ulaya 1
  • @
    @udakutv69735 years ago JE UNATAKA KUONA SMS NA CALLS ZILIZOPO KWENYE SIMU YA MPENZI WAKO BILA YE MWENYEWE KUJUA
    BOFYA HAPO CHINI KUJIFUNZA
    https://youtu.be/2T4Kx2luE2o
    https://youtu.be/2T4Kx2luE2o
    https://youtu.be/2T4Kx2luE2o
    ...
    1
  • @
    @husseinkonz51925 years ago Fei nakuelewa but kua Makin na matapel was mpira 9
  • @
    @grecehuyukibanishida55955 years ago kwenye yanga umekipata ulichokuwa unakitaka no mshahara wala nn 3
  • @
    @BontamLee5 years ago Hapana dogo sio star huyo,mpira anaocheza bado wa kitoto sana. 1
  • @
    @dr_godfrey5 years ago Huna kiwango cha kuchezea simba una mapoz
  • @
    @alwatanalgilgilan-y30785 years ago wewe fundi tena wa ukweli.ila dogo epuka bhangi wacha kabisaaa
  • @
    @happydaudi79075 years ago Uongo tu we huna msimamizi mpaka unahangaika kwenye magari na viongozi ?? Alafu acha kutafuta sifa simba aijawahi kukuhitaji 1
  • @
    @michaelamos31645 years ago Utaongea Sana lakini mlango wa kutokea upo msimbazi siouko huko utakufa njaa
    Huko limebaki jinatu shauriako jiongeze chomoka dogo
    3
  • @
    @saulobahati35635 years ago Hongera Sana Feisal mungu atakucmamia utafika unapopahitaji 4
  • @
    @azizimuhibu77715 years ago Feo Toto anajua,gonga kiatu saana yanii,Allah akujalie zaid 8
  • @
    @ruqaiyaabdallah99675 years ago Napenda mtu aipendae kazi yake na atangulizapo Mungu
    Inshallah
    Jitume Feisal Toto utapata mafanikio
    5