Duration 4:20

MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE (OFFICIAL VIDEO)

3 134 221 watched
0
6.4 K
Published 1 Jun 2020

Wimbo uliotungwa naye Felician Albert Nyundo (FAN) +... Wimbo ulioimbwa na kujulikana na wengi miaka kadhaa iliyopita na hata sasa bado unapendwa na walio wengi. Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Sombetini, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, wanatushirikisha wimbo huu na wanatualika tumwimbie Mungu na tumpigie Kelele za shangwe.Ni Maneno Matamu kabisa kwa anayependa kumsifu Mungu. Tumwimbie Mungu wetu, naye ata Mimina neema zake katika maisha yetu. Ni neema ya Mungu inayotufanya tuwe tulivyo hivyo tushiriki kikamilifu katika kumwimbia. Bwana unibadili niweze kuacha yote nikutumikie wewe, niweze kukuimbia wewe wimbo ulio bora, niweze kuwa miongoni mwa wateule wako.Karibuni sasa muweze kusikiliza na kutazama.Kwa watakaopenda kuwasiliana na kwaya hii, tumieni namba +255 754 628 685 au +255 754 759 428#kwayakatoliki #mimina neema #bwanaunibadili #manenomatamu

Category

Show more

Comments - 593