Duration 11:24

Kama Matukio Haya Yasingerekodiwa, Hakuna Ambaye Angeamini.

by YIB
205 691 watched
0
5.3 K
Published 3 Mar 2020

In This Video:          Kuamini jambo inahitaji sana moyo, sio kwasababu ya ubishi bali muda mwingine ukiambiwa kwa mdomo kuwa mamba alitoka kwenye maji na kupaa kama kunguru ni ngumu sana sana kuelewa kauli hiyo haijalishi inatoka kwa nani,   Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Sources : /watch/o44XxzfZtbKZX https://www.pexels.com/video/view-of-a-beautiful-graveyard-1955541/ Check out other videos on the Channel: NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.! /watch/ASovffWFxL1Fv Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: "Hero Down by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) BG Music: Magic Forest Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Lost Time Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua

Category

Show more

Comments - 101
  • @
    @daudkally30163 years ago Nakubali broo lete video nyengine nyingi kama hizi.
  • @
    @thomassamwel9994 years ago Nimeinjoyi na nawakubali sana kwa video mnazo tuma mnifanya nieke mb kwa ajili yenutu.
  • @
    @janjaaction99424 years ago Mko vizur yib najuta kwann sijawafaham mda mwing uliopita ila sijachelewa. 1
  • @
    @mariyammaria33664 years ago Mmmhyani jana mliileta jana usiku bt mi nikaipuuzia nikidhani niyakutisha lteni zakutisha sikujua 2
  • @
    @budahman29084 years ago Nimenjoy japo clip nyingi nimeshaziona kwenye chanel ya bright side of life. 9
  • @
    @allyally10774 years ago Unazingua broo kishaunataka tu subscribe nn. 2
  • @
    @pauloserenduki71244 years ago Mi mm nimejiinea majaabu bila kuambiwa its' really. 2
  • @
    @tayanabenard43924 years ago Hizi hazinogi mzeenazo, lete mambo yetu bana. 1
  • @
    @eliyadigasson66794 years ago Kuna part wamechukua kwenye movie ya eliot. 4
  • @
    @winstonwalter53264 years ago Kuna kitu hakipo sawa. Vipi kuhusu huyo dino waliomfunga kwenye gari ni kweli? 1
  • @
    @daudimpulumba67424 years ago Acheze tu na hao simba ila cku watakapo mgeukia ndo atakapo jua. 5
  • @
    @queenwinnie2564 years ago Yani bibi hapo kwenye mbwa roho yake nyeupe, hata ukiomba doll 100 anakupaka, wanapenda viumbe kuliko binadamu wenzio, 1
  • @
    @Fm-MornStar20144 years ago Hao simba kuna siku watagundua walikuwa wanacheza na chakula cha jioni.
    guest what will happen that day.
    4
  • @
    @rahimutwentyseven54354 years ago Hao unakuta washaogaga mikojo ya simba.
  • @
    @agnesslukumay43484 years ago Hata simba awe amekufa c wezi kumsogelea. 14
  • @
    @raxjkhaheshi3484 years ago Yaani umezinguw unaweka crp ambavyo zote nisha ziona duh! 3
  • @
    @user-ud9cm5cy8c4 years ago Kazi ipo sas mmbwa ana ruka hewani duu macho yangu. 1
  • @
    @johnabelly86134 years ago Hamna kitu ap mnataka koment zabure na sucrab zabure. 3
  • @
    @ajobangoy63974 years ago Aitish san lakin ila gis unavyo ongey ndo unatufany tuwe nauoga. 4
  • @
    @kelvinkedson83594 years ago Kama unaikubali hii channel gonga hapa. 3
  • @
    @apostleplukuta17514 years ago Kuhusu huyo mtoto aliambiwa baba yake amefia vitani afghanistan lakini mwishi wa siku akagundulika yu hai ndipo akarudi akakutana na mkewe na kuamua kumfanyia . ...Expand 6
  • @
    @mgenirasimi77714 years ago Tukio la simba kwangu ni kawaida sana.maana bibi angu anaishi na fisi wengi sana ikifika usku tunawapanda kama farasi na kisafiri nao umbali mrefu id="hidden3" class="buttons"> na hawaleti shida.vipo vingi tu kama paka bundi vyote hivi ni sehem ya vitu tunavyofuga kwahiyo bwana fanya ututembelee uone maajabu .. ...Expand
  • @
    @muhammadismail59804 years ago Natoa maoni yangu kwamba
    ni vzuri mngeendelea kufafanua zaidi kuhusu video hii
    maana situnaoangalia miongoni mwetu tumeshindwa kuelewa ni sehemu zipi za tukio napia
    minime shindwa kufahamu kwani
    kwenye video hii nimeona dainosa kwani si waliisha ulimwenguni. Naomba sana ufafanuzi wa video hi
    .
    ...Expand
  • @
    @isabelajosiah63594 years ago Hata kama uelew nikipichamaana sstushakua kama wajinga kutazama vtu ambavyo avina maana.
  • @
    @apostleplukuta17514 years ago Kuhusu huyo mtoto aliambiwa baba yake amefia vitani afghanistan lakini mwishi wa siku akagundulika yu hai ndipo akarudi akakutana na mkewe na kuamua kumfanyia . ...Expand 6
  • @
    @mgenirasimi77714 years ago Tukio la simba kwangu ni kawaida sana.maana bibi angu anaishi na fisi wengi sana ikifika usku tunawapanda kama farasi na kisafiri nao umbali mrefu id="hidden7" class="buttons"> na hawaleti shida.vipo vingi tu kama paka bundi vyote hivi ni sehem ya vitu tunavyofuga kwahiyo bwana fanya ututembelee uone maajabu .. ...Expand
  • @
    @muhammadismail59804 years ago Natoa maoni yangu kwamba
    ni vzuri mngeendelea kufafanua zaidi kuhusu video hii
    maana situnaoangalia miongoni mwetu tumeshindwa kuelewa ni sehemu zipi za tukio napia
    minime shindwa kufahamu kwani
    kwenye video hii nimeona dainosa kwani si waliisha ulimwenguni. Naomba sana ufafanuzi wa video hi
    .
    ...Expand