Duration 1:48

JONAS MKUDE Kukaa nje wiki mbili kutokana na majeraha

461 watched
0
3
Published 12 Jun 2020

JONAS MKUDE: Taarifa kutoka klabu ya Simba SC Tanzania inaeleza kuwa kiungo wake Jonas Mkude atakuwa nje kwa wiki mbili kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC. Akiwa nje ya dimba, Mkude ataendelea na mazoezi mepesi huku akipata matibabu. Subscribes:/c/KidaniStars HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:/c/KidaniStars

Category

Show more

Comments - 2