Duration 10:22

DIAMOND 'AHARIBU' TENA SIO KWA SHANGWE ALIYOAMSHA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

74 153 watched
0
691
Published 29 Aug 2020

DIAMOND 'AHARIBU' TENA! SIO KWA SHANGWE ALIYOAMSHA UWANJA WA JAMHURI DODOMA Leo Agosti 29, 2020 Chama cha Mapinduzi CCM Kimezindua Kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ambapo mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wale wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na viongozi wastaafu....+ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 209
  • @
    @samiramaulid92524 years ago Jamaaa ana pumzi sn jaman nyimbo tatu mfululizo anaimba anacheza anakimbia kwa wakati mmoja duh jamaaa noma 18
  • @
    @magrethjohn49294 years ago Tukubali tukatae hujui jamaa kapeperusha 🇹🇿🇹🇿 kimuziki km ilivyo kwa marehemu kanumba kwa upande wa filamu, kaz nzur bro😘😘 8
  • @
    @heriholder16254 years ago Anajua kuimba na kucheza ndio maana watu wanampenda 5
  • @
    @gracekagoma32314 years ago Ahsante Sana Diamond.Mfano mzuri Kwa vijana. 15
  • @
    @shamaa9964 years ago Mpiga picha ndio amenifanya nichoke 😂c kwa mbio hizo lukamba😎 "salute"kwa kaz yako 💪 12
  • @
    @fatumamberwa19684 years ago Ningekuwepo kura yangu angeipata baba Magufuli🔥🔥 8
  • @
    @junemuchiri6094 years ago Mondi aache kukimbia Sana na kudance same time,anapumua Sana Hadi anashindwa kuimba vizuri😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 3
  • @
    @mryansoo42174 years ago Duniani wanamtambua kwa Mr Electricity
  • @
    @k4videoproduction414 years ago Simba bado yupo juu hashindan na watoto wa juzi 13
  • @
    @sheysarahnjeno93264 years ago Mh Magufuri ni fireeee Hongera mh ccm number moja
  • @
    @yogolb28564 years ago Sasa Yule korosho afuate tena iiii kama ata weza cheza kama African mickael Jackson Diamond best performer ever in Africa 4
  • @
    @corboyofficial8044 years ago Sema jamani Diamond anakimbia nyinyi duuuh 🤔 3
  • @
    @almasomary76554 years ago Aina aja ya kampaini magu ww ndo rais wetu mwenyez mungu akusimamie kokote huendako 9
  • @
    @samsonkusupa68094 years ago Sio kwa show hii umewakuna upele sio kitoto 11
  • @
    @godfreymsafiri33804 years ago Mungu Akubariki Wewe Usomaye Hii Comment. Wewe na Familia yako Nzima Yajayo Yanafurahsha Usikate Tamaa. 5
  • @
    @peterkailembo41014 years ago Mby tunamsubiri Magu kwa hamu, wapinzani mlishashindwa zamani kabda hata ya kampeni 4
  • @
    @judydota42424 years ago Lukamba nakuonea huruma mbio utawezana nazo eeeeh simba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 10
  • @
    @rayshikeli15774 years ago Leo comment zimenishinda kusoma namtizama Diamond anavyonyatia nyatia......damwani Simbaaaaa🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 19
  • @
    @maryamallyjum32294 years ago Dah uyu camera man wa dai anakaz mana anaweza anguka 2
  • @
    @silverpadana21384 years ago 😆😆😀lukamba unakoma jamaa anamizuka balaa Safi Sana mond 4
  • @
    @omaryonga17764 years ago SIMBA NI SIMBA TUUUUUUU,HUYU JAMAA HATARIII SANA ......WENGI WATAJIFUNZA KWAKE. 13
  • @
    @hamisayusuph59664 years ago Mwaka huu ni noma Magu kura yangu nimeshaiandaa kwako 1
  • @
    @nasramohamedi40954 years ago Kumbe kakiwashaaaaaa 🔥🔥🔥🔥konde mavi mkahareeeee hamuwezi kwa mond dat is trellah mnashika sharubu za Simba!!! Alaaaaa msijaribu Tena WCB4LIFE 13
  • @
    @hajisonyo69854 years ago Mwaka huu ccm ushind lazima hat wafanyeje yatabak majungu tu 12
  • @
    @subirachuttar80984 years ago Simbaaaaaaaaaaaaaa!!
    Huyu mtu anapumzi ka zote.
    1
  • @
    @elishanziku87254 years ago Mond kweli wewe Ni baba lao hawawezi kuchindana na wewe, Huyo mmakonde wa Yanga akasomeeeeeeeeeeeeeee miaka 30 mbele 12
  • @
    @corboyofficial8044 years ago Ukipiga show na huyu jamaa ujue unafunikwa tu🤣🤣🤣 1
  • @
    @rukiamohammed50314 years ago 😂😂Lukamba kz anayo sn 🤣🤣c kwa mbio hizo 4
  • @
    @ombeniruvubika53924 years ago Huyo ndo mfalme wa perfomance Africa nzima 4
  • @
    @saidomari33254 years ago diamond simba hakuna cha nani wala nani hakuna mtu wakumshindanisha nahuyo mtu kabisa yn ukimfananisha unamvunjia heshima sn hakuna mwny levo zake hata ile tu therusi🤫🤫🤫 4
  • @
    @diamondgeyser79874 years ago MAGUFULI baba laooooo, Mondi Simba laoooool....
  • @
    @wilondjarama14274 years ago Watanzania mnataka Diamond akifa ndo mkubali kuwa yeye ndo mwana mziki bora african mashariki
  • @
    @isamony584 years ago 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌Magufuli woyooooooooooo 4
  • @
    @salehesengiyanka53974 years ago Izo ela za kampeni nunueni ndege zingine ili kila mwananchi apande ndege, ata wa vijijini watengeneze historia ya kupanda ndege, maana rais tunaye anko magu 3
  • @
    @mbwanakiting71804 years ago Nilitaka kushangaa watu wamejaa hivi kumbe Simba alikuwepo....ccm msimuache huyo Kila mnapokwenda 1
  • @
    @chachanyamagatarawaheke94874 years ago Naa utatandka kitanda mpaka bas baadae uimbe unaenda kutambulisha madanca naa kpga makelele jukwaani ivi unachokiimbaga unakielewaga au imladi umeimba mwimbaji ni kiba tu na mwanamzki ambae hashuki kiwango umemkuta na baado unafaata nyao na ukongwe wake na utamwacha kwenye gemu Make hjui unachokifanya ...
  • @
    @mbwanakiting71804 years ago We kumbekuna wengine walikuwepo tu maana makofi ishirini walikuwa hawapigi...pumbavu sana 1
  • @
    @dangomc_niger4 years ago Afu eti mtoto anajilinganisha na baba laoo 1
  • @
    @janekichonge49574 years ago Kutoka ujeruman ushindi ni wa magu hata wazikiri uchi hawapati kitu yesu anampigania 1
  • @
    @juliusphabian63364 years ago Mmemfanyia unyama....yaan mmeichukua vibaya kinyama
  • @
    @natafutamatatizo43824 years ago . Wisho wa siku vyuma vitazidi kukaza.
  • @
    @keshenimtewele20014 years ago Hapo wabongo huwa mnasahau shida za miaka50
  • @
    @wangonamuhange82184 years ago Tatizo uyu jamaa anapaniki alafu hana punzi kama unajua mziki utajua kama mbulula hujui elewa 1
  • @
    @cheiknamouna20584 years ago Sasa nashindwa kuelewa uzinduzi ni wa ccm muongee na wananchi mmekaa kuimba kampen zikiisha mtawaambia tulimba au fanyeni vitu vya kueleweka kila ck kuimba 1
  • @
    @abdukadiliissa80764 years ago Alitaka kuleta Shobo kwenda meza kuu sasa MWANAKULITAFUTA MWANAKULIPATA HAHA konde boy
  • @
    @chambimagele67264 years ago KUANZIA LEO NI KOSA LAJINAI NA MARUFUKU KUMFANANIAHA MONDI NA MSANII YOYOTE AFRICA MASHARIKI 6