CARRYMASTORY tumepata nafasi ya kufanya Exclusive interview Hamisa Mobetto kwenye mashindano ya Miss IFM ambapo alikuwa kama jaji pia kama dizana aliyewabunia washiriki mavazi yao. Aliongezea juu ya msanii kutoka Kenya Jaguar kumposti na kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa.