CORONA: MBOWE APIGA MARUFUKU MIKUTANO YA CHADEMA YOTE..
Kufuatia kuingia kwa ugonjwa wa virusi vya Corona nchini mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametangataza kusitisha mikutano ya chama hicho kwa ngazi zote...
Mapema leo 23/03/2020, Mbowe amewataka viongozi wote wa chama hicho ngazi za mikoa na wilaya kutofanya mikutano ambayo itasababisha mikusanyiko.
uamuzi huu wa chadema unafati baada ya tamko lilitolewa na mwenyekiti huyo wa chadema la kufanya mikutano ya hadhara ifikapo mwezi april mwaka huu.
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline