Duration 4:57

Diamond Platnumz Awanyoosha Harmonize na Alikiba Tuzo za AFRIMMA 2020,Vipengele 6

4 523 watched
0
67
Published 12 Sep 2020

diamond platnumz ameibuka kinaea kwa kuchaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2020 katika vipengele 6,akiwa ni msanii pekee aliyejitokeza kwenye vipengele vingi zaidi huku mahasimu wake Alikiba akichaguliwa vipengele 2,na harmonize kipengele 1,Tazama hapa na usisahau kuwapigia kura kwa kubonyeza link hii https://afrimma.com/

Category

Show more

Comments - 29