Duration 8:14

Kimbunga Shaheen tishio Oman, ni mafuriko makubwa, mtoto afariki baada ya kusombwa na maji

12 088 watched
0
214
Published 3 Oct 2021

Category

Show more

Tags

Comments - 367
  • @
    @saumusalimuhassan24993 years ago Kiukweli niko hapa Oman, Mvua ni kubwa imeambatana na upepo, ulianza upepo toka saa kumi ya Alfajiri, kisha ikaja mvua, yani toka asubuh mvua imekata saa moja usiku, upepo ukata saa mbili, ila Sasaivi upepo umezuka tena na ni saa usiku, and ndio kwanza upepo kama wote, umeme umezima and toka nane mchana pamoja na maji, mpaka mda huu upepo unavuma sana na Maji na umeme havijarudi, and hatariiii sijawahi kuona toka nimekuja Oman, Japo wenyewe wanasema uwa inatokea mara chache sana, Allah atusimamie kwakweli, and inshallah .. ...Expand 14
  • @
    @lm63733 years ago Alhamdulillah wazima tuna chukuru allah from oman. 4
  • @
    @dottohamisi98443 years ago Subhanallh mwenyezimungu atunusulu sisi waja wake. 3
  • @
    @mwanaidmajani8563 years ago Allah atunusuru maan c kwa upepo huu unavyovyuma. 4
  • @
    @sukariyao65373 years ago Asante mungu sie kwetu mvua imenyesha ila atujapata mafuriko maji yamepita tuuh njia.
  • @
    @rhodaephraim86063 years ago Polen jomon mungu awanusuru na janga hilo kubwa.
  • @
    @amandabilegeya35053 years ago Pray for oman
    1 comments for oman.
    7
  • @
    @francineniyonkuru7413 years ago Mugu atunusuru sisi wenye tuko uku oman tunawo wonga nyigi. 7
  • @
    @khadijaabdala68763 years ago Alhamdullillah maana hali ilikuwa mbaya. 2
  • @
    @tatutatu15703 years ago Polen sana vipenzi vyangu mie ndugu yenu npo iraq mungu awaongoze muwe salama insha allah.
  • @
    @tausilifestyle7953 years ago Alihamdulilah mana hali ilikuwa mbaya.
  • @
    @levocatusgaitan2073 years ago Eeemwenyez mungu tufanyie wepes waja wako. 7
  • @
    @mligosandrah78513 years ago Mungu awanusuru yarab, huko mvua ikinyesha wanatokaga kuchezea maji ila hii kiboko.
  • @
    @suzanetilito81943 years ago Namshukuru mungu upepo na mvua ulikwepo juzi tumenusurika. 1
  • @
    @alleoo2733 years ago Alhamdulillah nimesalimika lkn hali haikua shwari.
  • @
    @mariammuscat43003 years ago Aaallah atatuvuwa salama yarab sote amin. 6
  • @
    @hamidabaliyanga25843 years ago Kweli kaka nihatali sana tuko ndani tuu. 1
  • @
    @kadijahajali39183 years ago Mm niko omani lakini nashukuru mungu alhadulilah huku kulikuwa hakuna maji ya hivyo saham.
  • @
    @saodashabani26523 years ago Mtihani siye tumenusurika ilawenzetu imewaathiri sanaa jambo la kumshukuru allah kwakweli.
  • @
    @fatmamshangama98243 years ago Mungu tunusuru waja wako tulioko huku wote. 3
  • @
    @singinggirl65543 years ago Nilipo mimi maji yamejaa mlango bado kidogo tuu yaingie ndani yah allah tunusuru sisi waja wako. 2
  • @
    @khdigahk42463 years ago Balaa ukuu muombee apa natoa maji ndani. 3
  • @
    @sadasaid44083 years ago Gono, yarabi, yani mackat ikinyesha imenyesha wallah, allah awanusuru na mzidi kuomba.
  • @
    @Zainab-sq1tc3 years ago Ni hatarii yan ila mungu atatusaidia hili litapita. 1
  • @
    @iradukundamike53703 years ago Omani wallah hatuna rakusema mvua imeharibu vitu magari nyumba bahari tunamwaciya mungu sisi binadamu hatuwezi cocote.
  • @
    @sophiakasana29373 years ago Mvua hii imeweka histori oman
    maana sitasahau sio kwa upepo ule jamani.
  • @
    @makulaikuku69093 years ago Yaa arabb tujalie kheri albatinnah ndio niliko mungu wangu. 4
  • @
    @rashidramadhan77083 years ago Sns nakufatilia sana uko vzr so piga kazi.
  • @
    @aysharashid10493 years ago Mwenyezi mungu atunusulu na iki kimbunga.
  • @
    @gdggghh20523 years ago Allah amesirikaa tunamuansii tunavyo juwa allah atuurumiyee kwaa urumaa wakee.
  • @
    @sarahrashidabdallah31093 years ago Sie tulio huku ndio tumejionea acha tuu kaka angu allah a tunusuru turudi makwetu subhana lallahtuiombe oman maana wacheni tuu. 3
  • @
    @salmaathuman91563 years ago Jana tumelala kwenye hiyo kambi ya serikali hii kitu usiombe uone hatari sana lakini tunamshukuru mungu nchi imekuwa kama bahari wallah acha kabisa tunamshukuru leo haijanyesha.
  • @
    @zenadaudzena28493 years ago Huku sinaw hakukutokea mvua wala mafuriko wala upepo.
  • @
    @ramlazuber60383 years ago Mungu wetu tunakuomba tunusuru. Na hasira yako. Nipo bidiyah omanhuku kigodo. Alhamdullilah.
  • @
    @OfficialOchu3 years ago Hakutokeki jaman mwenzenu maji hd ndani ht sijui wanalalaje kwakweli madirisha ac zinapitisha maji ndani.
  • @
    @Hawa-ed2hg3 years ago Reo tumepatatikana tuwombeeni dua hii mvua ipite sarama. 1
  • @
    @nouriathismail33 years ago Kuna wengine 6 wameangukiwa nanyumba wote wamefariki. 1
  • @
    @aysharashid10493 years ago Ndiyo ali alisi ya oman ni kweri jamani.
  • @
    @meetingxoxo46343 years ago Yani jumapili atukulala kabisa upepo namvua maji yamengia mbaka ndani.