Duration 20:49

Jinsi ya Kupika Figo za Ng'ombe | Pika na Babysky

22 413 watched
0
331
Published 8 Feb 2020

MAHITAJI: 1.Figo kilo moja 2. Vitunguu maji vikubwa viwili 3. Nyanya za kawaida tano na kijiko kidogo kilichochaa nyanya ya kopo 4. Karoti kubwa moja 5. Hoho kubwa moja 6. Kitunguu saumu kijiko kidogo cha chai 7. Tangawizi kijiko kidogo cha chai 8. Chumvi utakayoona itatosha 9. Cream kikombe kimoja cha chai #PikanaBabysky

Category

Show more

Comments - 139