Duration 31:16

SIMANZI: KUAGWA KWA MTOTO ALIYEFIA BAHARINI KIGAMBONI, MAMA AISHIWA NGUVU, BABA HAJIWEZI KABISA..

19 640 watched
0
81
Published 12 Nov 2021

SIMANZI: KUAGWA KWA MTOTO ALIYEFIA BAHARINI KIGAMBONI, MAMA AISHIWA NGUVU, BABA HAJIWEZI KABISA.. Maisha ya kijana mdogo Godfrey mwenye umri wa miaka 14 yamekatika ghafla! Mshumaa umezima katikati ya upepo mkali! Kinachouma zaidi, ni kwamba siku chache tu zilizopita, Godfrey alihitimu elimu ya msingi na matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba yalipotoka, alikuwa amefaulu vizuri kuendelea na masomo ya sekondari! Tukio hilo la kusikitisha, limetokea asubuhi ya Jumamosi ya Novemba 6, 2021 wakati kijana huyo mdogo na wenzake wanne, walipoenda kuogelea katika Bahari ya Hindi, eneo la South Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam ikiwa ni muda mfupi tu tangu wamalize kufanya mazoezi ufukweni, kama ilivyo kawaida yao. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 63