Duration 32:34

'Nilimpoteza mwanangu kwa kubakwa na dereva Bajaji na kisha kulawitiwa na ndugu yangu | DARAJANI (2)

50 131 watched
0
475
Published 28 Jan 2020

BOFYA LINK HII KUTAZAMA SEHEMU YA KWANZA: /watch/8UX8dkwZAyTZ8 Lillian Mwasha anakukaribisha kwenye kipindi chake kipya, #Darajani. Kwenye episode hii anazungumza na Dora Raymond, anayesimulia jinsi binti yake Tracey alivyobakwa dereva bajaj na kisha tena kulawitiwa na ndugu yake na kisha.... kufariki dunia. Kama haitoshi, binti yake mkubwa naye alikuja kubakwa na Mtumishi wa Mungu.. Kisa chake kinasikitisha

Category

Show more

Tags

Comments - 0