Duration 7:19

AfyaYako: Mtaalam aeleza dalili za ugonjwa wa moyo

40 935 watched
0
202
Published 12 Oct 2018

Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yanayoisumbua jirani kwa kiasi kikuwa. Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete (JKCI) kupitia kwa mkurugenzi wake, Profesa Mohamed Janabi inakuletea baadhi ya dalili za ugonjwa wa moyo.

Category

Show more

Comments - 64
  • @
    @suzanejeremiah34633 years ago Loh, mwenyezi mungu tutie nguvu, kumbe. 3
  • @
    @happykundael7706last year Asant sana doctor lakin mim nina swali je kuhc kam kichom kinakuchom kila mahal kinawez kikachom juu ya bega au mgongon au mguun au kifuani tatizo linakua nin.
  • @
    @happymlwilolast year Naomba namba yako ya cm inashida ya moyo natumia dawa lakini hakuna unafuu nisaizie doctor. 1
  • @
    @felixwillson352510 months ago Namba tafadhali mwenye namba ake huyu docta anipe jamani.
  • @
    @histonyezekiel42144 years ago Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu . ...Expand 1
  • @
    @aishafrancis771410 months ago Naombeni namba ya huyu doctar nina mgonjwa ana hali mbaya.
  • @
    @zakayozakayo36972 years ago Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim, nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa san sijajua . ...Expand
  • @
    @ivyrehema32463 years ago Samahani navipi kuhusu kufura chini ya ziwa la kushoto nakuuma.
  • @
    @makuyunitvshow25293 years ago Doctor moyo wangu unaenda mbio mpaka kuna mda nashindwa kuhema naomba unisaidie mnapatikana wapi mimi nipo arusha, halafu nikila vitu vya nafuta najiskia vibay sana. 1
  • @
    @mubirupeter21533 years ago Asante sana doctor kwa somo lako ila nina maumivu makali chini ya titi upande wa kushoto sijui inatokana na nini. 4
  • @
    @user-oc8uo9rl3u8 months ago Acheni kutisha watu toeti toeni matibabu watu wafanyeje ili wajitibu sio kuwatisha mkaishia hapo.
  • @
    @histonyezekiel42144 years ago Docta plz tupe namba tunatembea tunaumwa tusije anguka. 3
  • @
    @happynessmakoyehappynessma66115 years ago Jmn me mapigo ya moyo yanaenda mbio sanaa kila sk uck cjui tatizo nini. 1
  • @
    @fatmamkongo43373 years ago Doctor upande wa kushoto juu ya ziwa kuna muda nahisi maumivu makali sana, mpaka mkono nahisi unaganzi,
  • @
    @goodluckmuyabi41945 years ago Moyo kuuma ukipita kwenye sehemu ya bamsi ni ugonjwa? 3
  • @
    @basilisamsaka84693 years ago Janabi ulinisaidia sana mungu alikuwa mbele yng, lkn nawe ulipigania maisha yng. 1
  • @
    @MohamedTsavwa-xh1xl9 months ago Vp docta wakenya wanaruhusika kutibiwa uko.
  • @
    @aishaahmed28782 years ago Dr. Naomba msaada mtoto wangu wa miaka sita kuna wakati moyo unaenda mbio sana na kuna wakati anasema anahisi maumivu, je anaweza akawa na shida ya moto?
  • @
    @lovederyare67565 years ago Docta me nna swali inakuaje mtu nimenene sana kam mm lakini nikipima presha iko normal hii ni kwasababu gani. 3
  • @
    @thobiaspaul82475 years ago Hivi kuna dawa kwa mtu mwenye tatizo la moyo kupanuka na kamaipo garama kuhusu matibabu ni kias gani. 2
  • @
    @histonyezekiel42144 years ago Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu . ...Expand 1
  • @
    @zakayozakayo36972 years ago Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim, nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa san sijajua . ...Expand