@amockkalinga15203 years agoPumzika kwa amani mtumishi wa mungu kazi yako umeliza kazi kwetu sisi tuliobaki. 2
@
@richardmwakasege52863 years agoPoleni sana kwmpendwa wetu mwansasu tutakumbuka daima.
@
@jaminussanga30313 years agoUbarikiwe mtumishi tinga kutupa yaliokuwa yakiendelea.
@
@kikotikikoti71763 years agoDah nilikuwa nakukubali sana mwamba pumzika kwa amani. 1
@
@abisairobert50983 years agoPumzika kwa amani mchungaji na mwimbaji wa nyimbo zilizotuinua wengi kiimani.
@
@raymondrobert89213 years agoR. I. P mtumishi wa bwana umevipiga vita.
@
@musabalinaki96923 years agoDah, wimbo wako babanikilala lala mauti hakuna awezae kuniamusha ndg na jamaa wataliaa lakini hata hivyonenda baba nenda na tutaendelea kukumbuka kwa nyimbo.
@
@jestinabenedict46203 years agoMtu wa mungu hata ibada inakuwa ndefu mazishi yaheshima naya mpangilio.
@
@jestinabenedict46203 years agoKweli ipo faida kubwa kumtumikia kiristo nahakika bwana akupokee.
@
@jestinabenedict46203 years agoTujitahidi kutenda mema tukakutane mbinguni askofu wetu.
Related videos for HAPA NDIPO UMEPUMNZISHWA MWILI WA EPHRAIM MWANSASU , MAKABURI YA ISYESYE MBEYA:
mchungaji na mwimbaji wa nyimbo zilizotuinua wengi kiimani.