Katika mfululizo wa makala ya chakula cha mtaani eneo la Afrika mashariki, leo tunaangazia chakula cha ‘chips yai’ ama ‘zege’.
Chakula hiki kimejizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania. Wauzaji wanasema kuwa wateja wakubwa ni wanawake kuliko wanaume.
Unadhani kwanini wanawake hupendelea chakula hiki zaidi?
#bbcswahili #vyakula #Tanzania