Duration 5:58

KILIMO CHA BANGI CHAWAPONZA, WANASWA SHAMBANI, WAJITETEA TUKIVUTA TUNAFANYA KAZI SANA

1 455 watched
0
12
Published 22 Dec 2021

Mkuu wa wilayaa ya Ludewa Andrea Tsere amewataka watu wote wanaojihusisha na kilimo cha bangi kuachana na kilimo hicho kwani watakapobainika wataadhibiwa kifungo cha miaka 30 jela au zaidi. Kauli hiyo ameitoa baada ya hivi karibuni jeshi la polisi wilayani humo kuwakamata vijana wawili wa familia moja waliotambulika kwa majina ya Faraja Mgimba (25) na Victor Mlwilo (34)waliokua wakijihusisha na kilimo hicho katika kata ya Ibumi wilayani Ludewa huku wakidai wamefanya hivyo kwaajili ya matumizi yao binafsi. Mkuu huyo wa wilaya amesema wananchi wanapaswa kutumia nguvu zao katika kulima vilimo vyenye tija na kuwaaletea faida badala ya kufanya kilimo cha bangi ambacho serikali inapiga vita na kinaleta madhara kwa binadamu. KILIMO CHA BANGI CHAWAPONZA, WANASWA SHAMBANI, WAJITETEA "TUKIVUTA TUNAFANYA KAZI SANA" WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 6