@husnahkidula68915 years agoHappy for you brother millady ayo god bless ya abundant . 3
@
@petersonshaezra11355 years agoHongera sana millard ayo mungu akubariki kaka utafika mbali san. 46
@
@je16805 years agoTo be honest i come buy parfum one hundred tazania shillings she' s so beautiful really love you shilole. 21
@
@luhindalukambingia74385 years agoNimeangalia hii video baada ya kumuona mond big up sana millard ayo kwa kumaliza tofauti zenu. 3
@
@mimaakenirram14055 years agoWalhai shishi umenichekesha mpaka nbavu zimeuma hira ongereni sana mlio msapoti haji manara kwa kununua bizaa yake. 23
@
@judithmelvinealuchio89685 years agoA time i like you tanzania guys muko na upendo ya upamoja may god be apone you guys lovely. 3
@
@eileenremmy85765 years agoSalute kwako @ireneuwoya barikiwa sana. 1
@
@anjelmwaipwisi38265 years agoWasokua naela maneno mengi kama unakubaliana na mm like apa. 93
@
@aikasolomon59915 years agoKwa kweli kakaangu manara endelea kuwa na moyo huo, mungu akubariki sana. 1
@
@rackiusaudaxaudaxevaristha69995 years agoMirrd kaka nakukubali siku zote mungu akutie nguvu na akuongoze. 1
@
@yusuphcosco98515 years agoIla miladi unasaut moja amazing mpe hai bina kasambo mwambie nampenda. 8
@
@amenashel64735 years agoAsantee saana wewe ulie towa bila watu kujuwa. 15
@
@mayusahussain80455 years agoHongereni sana mliomsapoti kumchangia hajji.
@
@eileenremmy85765 years agoSauti ya millard ayo naipenda sana pia mtu mwenge hekima zake barikiwa sana dogo. 2
@
@hamisikabwe39805 years agoDuh, yani mond bana noma sana, katoa million 5 kama anatoa buku. 30
@
@kulwamigo91275 years agoHongera sana manara ww mtu wa watu, mungu akupe umri mrefu. Wanaokuponda hawajitambui lkn kazi yako naipenda sana unapiga mzigo mchango wako kwa simba haupimiki. 1
@
@mbondokambi80535 years agoLinapofika swala ela hakuna cha wcb family kila mtu atatoa mwenyewe hahhaha saf iyo mondi. 38
@
@liliankaigarula76655 years agoJmn mirad ayo nakupenda sana mm natokea kagera. 1
@
@gggjjahhhh94195 years agoMashaallah nimependa jaman kwakushikamana. 1
@
@nattsasavi97245 years agoMwana dada hyu shilole ako sawa sana i lke you. 2
@
@maulidabdulkadirguled12575 years agoMkiambiwa muwachangiye watoto yatima mtachajiahivo. 5
@
@azzamahamdu70395 years agoIla shilole naomba uingie the comedian walah. 4
@
@joycefelix90475 years agoNingehljisikia vibaya shilole usingeongea. 5
@
@dinamicheal51545 years agoDuuu ebu taja mwenyewe .sawa nimekubali 3
@
@ezapesambili29025 years agoDiamond platnumz katisha kinyama unamoyo brother. 4
@
@zahoromtaly57255 years agoKama shilole amekuchekesha alivyokosea weka like yako hapa. 28
@
@zaynsalma34665 years agoYani hata uwe unakiakiba kidogo hapo lazim utatowa tuu. 9
@
@fatmahchambo20375 years agoUsiseme bongo hakuna pesa. Sema sina pesa. 37
@
@joycenakumbya37035 years agoMondi millard ayo nawapenda sana mara nying husema hukweri ndio mahana mungu hanawapa kuficha huko vep sema hulicho nacho mbona chch kasema.
@
@joachimsulle31695 years agoEti hii ilikua bongo kweli jamani? Mi najua bongo vyuma vimekaza afu uko perfume 1m! Duh hatare. 7
@
@salumabdallah9265 years agoHahahahahahaha shishi bhn asante kw lugha yak. 8
@
@mwanaishambili2415 years agoHahaha shishi bbay ungera utajuwa tu watacheka mwisho wataelewa. 5
@
@shekhekhandereizer5595 years agoOne hundred nam mzungu wetu wa bongo shilole umeuwa sana sema nn unataman sana siku moja uje uwe kma beyonce apa bongo lkn ndio vile tena mzee ajibu id="hidden2" naona anajificha chin kwa chini mm simba lkn jama nilikubali sana asee basi tu haha mzee wa fresh to fresh. ...Expand6
@
@AndrewMugaya5 years agoSema shilole ukiongeaga english unakua comedy adi raha. 7
@
@ziakaitala22215 years agoHongera sana manala mungu akubalik awafakie albino wote wenye mahitaj. 2
@
@danmanga43425 years agoShilole nakukubali sana pale tu unapo ongea kingereza.
@
@nattsasavi97245 years agoUncle nzumo nakuona na mkeo mrembo wetu yako! 1
@
@omymcatalunya23315 years agoLimutuz limeongea maneno mengi kumbe linatoa laki 2. 31
Related videos for LIVE: HAJI MANARA AWASIMAMISHA MASTAA MMOJA WANUNUE PERFUME:
mpe hai bina kasambo mwambie nampenda. 8