Duration 35:50

MPAKA HOME: Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba

681 563 watched
0
3.7 K
Published 19 Dec 2017

Subscribe /c/uwazi1 STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman Yusuf ‘Patrick wa Kanumba’ amefunguka juu ya uvumi unaoenea ukidai yuko kwenye penzi zito na muigizaji mwenzake, Hannifa Daud ‘Jennifer wa Kanumba’ ambapo amekanusha vikali madai hayo. Katika mazungumzo maalum na kipindi kinachojipatia umaarufu na kuvuna mashabiki kila kukicha cha Mpaka Home baada ya kuibukiwa nyumbani kwao usiku mnene, Patrick alikiri kusikia uvumi huo kupitia watu mbalimbali ambapo alisema yeye na Jennifer ni kama ndugu kwani hata familia zao zina uhusiano mzuri hivyo hawezi kufanya kitu cha ‘kijinga’ namna hiyo. Twende pamoja umsikie Patrick alivyofunguka. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

Category

Show more

Comments - 536
  • @
    @rahmahussein81397 years ago May allah continue to bless him and his family. Ameen. 7
  • @
    @swaumukassimu64744 years ago Jamani we kaka othman unajiheshim sana love it. 1
  • @
    @aldanaudana26336 years ago Watanzania wabara mna umoja tunawapendeni mnavopendana na kwa umoja wa kikiristo na waisilamu yaani kanumba kawachukua hawa waisilamu nae akiwa kiristiani namazikoni mnashirikiana mashallah.
  • @
    @saidsaid94637 years ago Mbona mtangazaji yuko vizuri2 ila anakigugumizi ndio kazi hakuna mkamilifu. 52
  • @
    @babycandy11537 years ago Mashaa allah mama patrick allahgood advice i like it. 3
  • @
    @loicechemutai92287 years ago Hongera xana patrick kwa kazi nzuri kila la heri. 6
  • @
    @sheymahabdulwahidkhalid63557 years ago Mashallah hongera sana patrick umekuwa baba la baba
    nimependa maongezi yako umeongea vizuli sana upo sahihi kabisa
    mie nakuombea kheri nikijana mmoja msikivu mi nimekupendaa bure mungu akulinde. ...Expand
  • @
    @anneemmanuel73636 years ago Woow paty c unajua kujieleza jamani hongera.
  • @
    @chrstnmuthoki6976 years ago Patrick hongera sana. Even ua response express es ua personality.
  • @
    @hellenjohn44725 years ago Jamani huyu mtangazaji sijawah choka kusikiliza kipindi. 3
  • @
    @clariritha58987 years ago Jamani kweli sikukuwa nafahamu kuwa njo mama yake nakina !!!! Napenda sana 8
  • @
    @naimarama57417 years ago Patrick nakupendajee jmn umekuwaaah mashaallah. 1
  • @
    @tinyaanosiatha11186 years ago Safi sana patrick unakula kujieza good job.
  • @
    @gloryherrymbwilo54296 years ago Ndugu mtangazaji nimekupendapia unajieleza vizuri sanaa.
  • @
    @shubaibe58027 years ago Maashaallah patrick mungu akuongoze inshallah.
  • @
    @jiongezemanyama8407 years ago Hongera mama patrick umekuza. Mungu amubariki.
  • @
    @georgekitaponda3366 years ago Uko vizuri mtangazaji achan n matusi yao.
  • @
    @deboramark18006 years ago Congrats othman ue knw how to explain ur self big up. 4
  • @
    @mdzainb37224 years ago Hee, kumbe ndo mama yake ndo najua leo mwe honfera sana mama kwa kukuza.
  • @
    @dorahdeus67576 years ago Jamn we mama mdhuri kumbe ndo mama p jmn nakupenda wew na mwanao.
  • @
    @amanside36915 years ago Patrick umekua jamani allah akukuze ktk malez bora inshaallah. 1
  • @
    @gilbertmwasenga21096 years ago Jamani mpunguze ukali wa vichwa vya habari mmesema aweka wazi penzi lake. 2
  • @
    @nabintukadende23887 years ago Bravo patrick. Uyu mtungazaji ana kazania sana nini. 2
  • @
    @mwanaidimwabitibongo87247 years ago Hongera kk, yani cjui mkoje nyinyi yani mnataka muwaingize kwa hayo magege yenu komeni mmezidi.
  • @
    @kibongobongo46086 years ago Watangazaji sometimes muwe na heshima kwasababu huyu unamuuliza masuala ya mapenzi bila kuwa na hisia ya wazazi wao sio vizuri kwakweli. Nauhakika wazazi hawajapenda.
  • @
    @salmamassoud98636 years ago Wallah me nilikua cjui km mwanae honger mama.
  • @
    @barakaisaya31096 years ago Umefanana na ndemla dogo nakupenda sana.
  • @
    @rachelmaneno97856 years ago Duuh patrick umekua! Nimekupenda bure.
  • @
    @alineshabani1587 years ago I like your answers patrick you are smart. 1
  • @
    @mbogabahati85997 years ago Kumbe huyu mama anakuaga mamaake na patrick nawapendaga sana mungu awalinde. 2
  • @
    @nyambinyambi47815 years ago Safi sana mtangazaji napendaga sana kufatiliaga izi story zenu na nacheka sana nimependa sana na nimecheka sanasafi mtangazaji uko vizur kugugumi id="hidden4"zi ni mipango ya mungu ila watu wanajiona kama wameumbika vile, lkni safar bado nacheka jibu la patrick eti mama yake na mama yangu wanaundugu wa kichini chini. ...Expand
  • @
    @MdArif-or9um6 years ago Nashangaa mnamponda kosa ganimtangazaji. Binaadam bwana. 7
  • @
    @solomonfaithbless59407 years ago This teen is just responding positively, i think is the great too.
  • @
    @chwabizobk81605 years ago Msome mje mplay part ktk kuchange bongo movie. 2
  • @
    @davidphares53167 years ago Huyu kaka mtangazaji mnamuonea sana kumtukana kwa nn mna kauli chafu hivyo mbona anatangaza vizuri na anauliza maswali ya kawaida tu mi nampenda sana huyu . ...Expand 67
  • @
    @AhmadAhmad-wl7zv5 years ago Wa tz punguzeni kufatilia mambo ya mtu plz.
  • @
    @user-ed1lo4mu2c7 years ago Mashaallah jaman kumbe muislam hongera kijana. 26
  • @
    @josemagangaduhkamasaidndem86396 years ago Duh patrick anafanana na said ndemla wa simba. 1
  • @
    @tinyaanosiatha11186 years ago Sana patrick unajua kujieleza good job.
  • @
    @ostazclassic33707 years ago Hahahahaha nampenda sana huyu mtangazaji anauliza vizuri sana mpaka ndani. 19
  • @
    @fatumavip26886 years ago David phares
    acha kunichekesha uwiii we noma tena hilo neno.
    1
  • @
    @ummybaby11747 years ago Kayamba vitalis ndy hivyo mie nawashangaa kumkosoa m2 kama vile hawajui hiyo hali m2 yeyote anaweza zaliwa nayo au kukipta hata kwa maradh m2 akiugua sn . ...Expand 4
  • @
    @jennyabdalla32046 years ago Dah! Jmn kaongea kwa huzun ila uko vzur.
  • @
    @amourdelicieuse29614 years ago We mutangazaji wa global tv kwanini kufika usiku sana.
  • @
    @rosemarybenjamin58667 years ago Maybe mbk leo hi the great kanumba angekuwepo mbk leo hii ungekuwa mbali saan patrick. 5