Duration 5:2

NONDO AMKALIA KOONI JECHA KUUTAKA URAIS ZANZIBAR

19 770 watched
0
114
Published 21 Jun 2020

Hatua ya Jecha Salum Jecha, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM imeibua maswali. Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo leo tarehe 21 Juni 2020 akizungumzia hatua ya Jecha kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa na chama chake kugombea urais visiwani humo ni sawa na refa kuishiwa uvumilivu na sasa anataka kwenda kufunga goli mwenyewe. Amesema, Jecha ambaye alikuwa Mwenyekiti wa ZEC na aliyetangaza matokeo ya uchaguzi Zanzibar 2015, hakupaswa kujihusisha na siasa.

Category

Show more

Comments - 125