Duration 9:59

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD

245 535 watched
0
931
Published 6 Feb 2020

HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD Mbunge jumanne kishimba ametoa ushauri katika sekta ya afya na ajira wakati akichangia taarifa za kamati za kudumu za bunge jijini dodoma UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 213
  • @
    @anordefta28534 years ago Safi sana; haijalishi ni chuo cha serikali ama private wahakikishe ajira zipo; vijana wanateseka mtaani na ndiyo maana maadili yanashuka na ni chanzo uhalifu. serikali tusapoti vijana wanoanahitimu vyuo maana bila hivyo wazazi wanakata tamaa kusomesha watoto huku wakihitimu wanaishia mtaani; yaani hakuna faida tena ya kusomesha maana vijana wengi wanaendelea kuwa tegemezi kwa wazazi wao hata baada ya kuhitimu masomo, baadala ya kulipa fadhira za kusomeshwa wanakuwa mzigo tena.
    it' s so painful angalia future ya vijana ambao ndo taifa la leo na kesho.
    fikiria ninyi mlio kwenye system serikalini kama mngehitimu masomo mkakosa ajira kama mngekuwa mlivyo leo.
    hongera mzee kwa mchango wako wenye points za kiphd, kwenye elimu na afya pana ukakasi kweli
    .
    ...Expand
    3
  • @
    @ephraimndelwa40733 years ago aisee nimemkubali huyu mbunge! Kama unaungana nami hebu like kwa wingi hapa!. 47
  • @
    @nebartmwakibinga92623 years ago Wewe mzee yesu akubariki sana unaongea vizuri sana ni muhimu sana. 5
  • @
    @lirastanley3903 years ago Kama umemuona mh. Mwigulu nchemba gonga like hapaila mbunge umeongea point sana. Na kama umesikia neno mganga wa kienyeji piga kicheko hapa. 4
  • @
    @bahatilaurence33353 years ago Mungu akubarik we mzee wang huw unaongeaa fact sana! Ss hao wengine wa kupongeza juhud! 4
  • @
    @wanguwangu343 months ago Huyu jamaa ni bright sana, kiwanda chake zimbabwe kina wasomi wengi sana, naomba mpeni phd ya heshima.
  • @
    @jazzymkalitv55353 years ago Asante sana baba kwa hoja nzuri bungeni. Nakupenda kwa kuongea ukweli. 4
  • @
    @gipsonmwankobela28252 years ago Uyu mzee ni very free minded safi sana,
  • @
    @andreakulisha51444 years ago Great thinkers are very few because they base on reality. 9
  • @
    @lwitikoasa68993 years ago Kama umeona wabunge wawili wanapiga story piga like. 3
  • @
    @happyneskanyenye37604 years ago Huyu ndo mh anayejua kujenga hoja za maana kulingana na mahitaji ya jamii. 2
  • @
    @wanguwangu343 months ago Uko sahihi sana maana sifa ya chuo tz ni majengo tu, na hata ajira ni cheti badara ya utaalamu, nilikutana na mtu masters degree lkn report yake ni sawa na f6 lkn anavyeti vizuri toka chuo kikuu komoja.
  • @
    @devothadeogratias85204 years ago A big point, aisee akili ni nywere aisee za kwenye vyeti hazina maana. 5
  • @
    @bantuflavourtz56804 years ago Huyu mheshimiwa ndio nimemuelewa sana alicho kiongea ni kitu ambacho kinatugusa vijana wa leo wa tanzania mungu amzidi shie afya na mawazo mazuri zaidi. 12
  • @
    @peterhano87064 years ago Hongera sn mheshimiwa jumanne kishimba pamoja mkuu uko sahihi kamanda chapa kazi ulipo nipo. 2
  • @
    @josephkuta72444 years ago Waaa this is the best mp in tz uku knya n nymbe bcz kxi yaoo n ksukuma watu shleni n ukwelii. 1
  • @
    @daudpaulo28673 years ago Uyu mbunge ni jembe safi awa ndo wabunge tunao waitaji sio mbungu unatuletea salam za familia safi sana baba. 3
  • @
    @janethlupilli11173 years ago Mbuge wangu kishimba kura yangu haikuenda bure hata kama cina ajira leo umewaka historia, kwa hoja kuntu na hata ukifa leo mawazo yako tutayaisho amen. 3
  • @
    @namkundaemmanuel34083 years ago Kweli nahis kale kausemi ka kusoma sana ni kuwa mjinga ona hzo cheche aise stn 7 hyo.
  • @
    @makambawaziri85884 years ago Kwa wakati aliosoma muheshimiwa akukua na ufahulu tulicho kua tunaambiwa mnachaguliwa kutokana na nafasi zilizopo sasa ua naumia sana watu wanao wabeza sana watu wa darasa la saba. 20
  • @
    @josephjulio61123 years ago Vizuri sana veta inachelesha sana mimi nimejifanza ufundi kwa vitendo hao wanatoka veta tunaaza kuwafundisha upya sio vizuri fundisheni kwa vitendo ada zinapotea.
  • @
    @eduardojose62292 years ago Nakuja tena, kuhusu ajira afrika tatizo tuna wabebesha madafutari mengi watoto wetu, mfano mtoto wadarasa 6 au 7 tunakuwa na masomo mengi alfu hayana tija, mimi . ...Expand
  • @
    @busnaoman99813 years ago Anaongea point san lkn hazitekelezwi wengi wao wanaon km anachekesha t dah mtu kaenda pk chuo kikuu lkn akimaliz anazurura mitaan myak 3 akisubir ku id="hidden9"ajiriwa ten saazingin pk atafut kweny google ss faid yake nin bora aishie la 7 t aangalie biashar zingin t. ...Expand
  • @
    @rajabungatanda37494 years ago Yani mh. Upo vizuri
    unaongea mambo yanayoigusa jamii kila siku.
  • @
    @geofreykilasi73543 years ago Baba j4 kishimba shkamo, unifungua sanaaah najifunza kwako.
  • @
    @issanmedia46543 years ago An awam hii wabunge wenye elimu ndogo ndio wanachangia mawazo bora kuliko wote bungeni, kumbe visevesa is true. 3
  • @
    @majimotomalole98124 years ago Kuna tofauti kubwa sana kati ya elimu dunia na elimu ya makaratasi.
  • @
    @janealoyce38664 years ago Nakuaminia my boss j4 kishimba mwenyezi mungu azidi kukutumia unanifurahisha sana. 1
  • @
    @jumarashidi91173 years ago Nawapongeza sana wabunge wetu ni wawakilishi wazuri wa wananchi.
  • @
    @mashramadhani19893 years ago Sasa watu waogope kufungua vyuo kwakuwa hana vigezo vya kuwapatia hajira? Wacha watu waelemike. 1
  • @
    @brithonmjema28333 years ago Mkumbushe na wazir mkuu lile swala la urasimishaj mafund limekwamia wap mbona tuliandika majina na namba za simu lakin limekaa kimya? 2
  • @
    @robathzingu16503 years ago Ana mawazo mazuri lakini ni ngumu sana kuya - implement bila kusababisha chaos ktk jamii. Ukitaka kuyatekeleza mawazo ya mbunge kishimba, ni sharti yapitie . ...Expand
  • @
    @jabilingandule66214 years ago Huyu ni mtu mwenye upeo wa mbali na huwa ananifanya niamini uzee dawa na angesikilizwa mambo yangekuwa powa sana. 3
  • @
    @mussasadick770last year Wakimaliza kujifunza kupaka rangi wafundishwe biashara ili waweze kujiendesha kwenye maisha ya kila siku.
  • @
    @janethlupilli11173 years ago Kila mpunge wa kila wilaya zote watoe idadi ya wasomi wake pia zipo sector nying huko wilayn kwao watupachike jamn.
  • @
    @meshacktimoth13704 years ago Huu ni ukweli.
    tunapaswa tuelekeze nguvu kwenye ubunifu na umahiri unaoleta tija.
    1
  • @
    @charlescoin5363 years ago Kwa hali hio hata should za sekondari zifutwe kwan kiingereza sio ligha yetu c ndio unachievable kimaanisha.
  • @
    @sugarsugar17063 years ago Bank statement pia wanatoza pesa nawo wangetoa garama hizo. 1
  • @
    @MohammedAli-rh5si3 years ago Mm natamani kufungua duka la dawa tuu ni mtihani.
  • @
    @fredrickbuya92934 years ago Mbunge anasema ila hoja inakuja 80% employment rate ya watu wote waliomaliza mwaka husika ni ngumu kutokana na rasilimani zetu na ufinyu wa sekta za ajira . ...Expand 1
  • @
    @emmanuelngewa88942 years ago Mzee wangu huyo kishimba. Kahamasana shule yake ya kishimba secondary school iliyopo mtaa wa ng' wamva kahama, mzee wa siku nyingi sana huyu kwenye harakati za maisha, yeye anaishi maisha mawzo yake, haishi mawazo ya kupandikizwa. ...Expand
  • @
    @KelvinMtavangu-ow8yo6 months ago Huyu baba anacheleweshwa na nini kupewa udaktari/ uprofesa?
  • @
    @wilbroadmalima43864 years ago Mheshimiwa naibu spika mara 89 umetixha xana like zenu hku. 2
  • @
    @dazk78613 years ago Ahahahah huyu jamaa ni zaidi yakuna tofauti kati ya elimu na akili.
  • @
    @izraelyherman44673 years ago Kweli wizara ya afya umekuwa taabu tupu ni wizi unaendelea.
  • @
    @MohammedAli-rh5si3 years ago Kufanya kazi nje ya nchi yangu sio kupenda ila changamoto zinakua nyingi.
  • @
    @MohammedAli-rh5si3 years ago Dada yangu ni mpaka rangi mzuri na hakusoma popote.
  • @
    @mussasadick770last year Wanafunzi wakimaliza chuo waulizwe wamejifunza nin?
  • @
    @godsonlaizer19883 years ago Hawa ni watu wachache duniani na wapo tanzania. 1