Duration 13:29

Scrub na face mask nzuri Kuondoa Makovu na Makunyanzi usoni | FT dijah dcoolxt | tanzanian youtuber.

18 008 watched
0
329
Published 6 Nov 2019

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine Leo tunafanya scrub na face mask nzuri sana kwa kila aina ya ngozi na inasaidia kuondoa Makunyanzi usoni na Makovu Pia ni nzuri kwa kufanya ngozi kuwa laini na Nyororo Na nimeshirikiana Na youtuber mwingine kufanya hiyo video naomba ukimaliza kuangalia video yangu mwende kwake pia Video ya dijah ❤️👇🏽😘 /watch/0OAiBK0aPaTai Video za mafuta Mazuri /watch/MxVcONWESMdEc Unaweza kunipata kwa Instagram:bariki.k Facebook: bariki karoli Email address for sponsorship or business: bariki.karoli@gmail.com

Category

Show more

Comments - 63