WEMA SEPETU, MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAISHA YAKE
Balozi wa Tanzania isaack Aibraham Sepetu alizaliwa Octobar 15 1943 ni mzaliwa wa Tabora ila alikulia mjini zanzibar,.
mzee sepetu alisoma elimu yake ya msingi na sekondary St. joseph mnamo mwaka 1952 hadi 1963, baada ya hapo mzee sepetu alienda kujiunga na chuo Berlin nchini Ujerumani mwaka 1964 hadi 1970.
huko alisoma shahada yake ya uchumi, alianza kufanya kazi katika serikali ya mapinduzi ya zanzibar mwaka 1971 hadi mwaka 1972 kama mkuu wa Bizanje msaidizi.
lakini mwaka 1982 hadi mwaka 1989 alipewa nafasi ya kuwa Balozi wa tanzania nchini Urusi na mwaka 1989 hadi mwaka1990 alikuwa balozi nchini zaile na huyo ndio baba ake wema na ndio chanzo cha jina sepetu..
Wema Sepetu alizaliwa tarehe 28, September mwaka 1988 katika hosptal ya Dr. Andrew's Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu ,Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye Familia ya kibalozi amesoma elimu ya msingi hadi sekondari katika shule moja tu iitwayo "Academic International" iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam na baadae kwenda Malaysia alipoenda kusomea uongozi wa biashara.
Wema hakufikiria kama atakuja kuwa mmoja kati ya ma-star wakubwa hapa nchini, hadi nchi za nje mpaka siku mmoja alipo kuwa kwenye matembezi yake Sleep Way Masaki alikutana na dada Mange Kimambi na kushawishiwa ashiriki mashindano ya Miss Tanzania 2006...
Wema Sepetu aliibuka kidedea na kuwagalagaza Jokate Kidoti Mwegelo na Lisa Jensen baada ya hapo aliwakilisha Tanzania katika mashindano ya miss ward huko nchini poland Wema alianza kuigiza rasmi mwaka 2007 alipoonekana kwenye filamu ya POINT OF NO RETURN ambapo halicheza kama mke wa jamaa tajiri mchawi ambaye daima huua wapenzi wake wa kike kama sadaka.
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1/c/uwazi1/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..
@rugurujohn89056 years agoShe is a reall queen i love her so much. She has brains she is beautiful she is a star that makes other stars shine more. It would be so nice for her to. ...Expand16
@
@sarafinaayieta80024 years agoI love this girl soo muchshe inspires me a lot. 5
@
@madmoisellefrancis92226 years agoNampenda sana' a huyo madam amejitahid kufanya maisha yake kuwa hapo yalivyo changamoto za kimapenzi n kawaida hivyo wanaomsema vby huwa cwaelewi kabisa,. ...Expand12
@
@silviammasa83386 years agoI just love her! No matter if i know her or not. Big up love. 12
@
@rugurujohn89056 years agoI just like the way she loved chibu before akuwe star but wema was star already thats true love there coz most people see diamond now but before diamond. ...Expand10
@
@mumcyn71156 years agoI love wema so much. I hope and pray that one day they will be together with diamond. 18
@
@aminamtondo18166 years agoMungu amlinde sister wema hakuna wa kumtegemea zaid yake subhanna, xo kikubwa amtegemee yy love u wemaa. 18
@
@ireneranga70246 years agoDada uko vizuri jmn toka saut hadi flows mwaah nimekupenda balaaa. 5
@
@jacquelinemwaya81156 years agoOooh wema wangu mi naumwa unajua nakupendaga bure. 15
@
@hamidaoman89464 years agoNakupenda sana wema kilasiku nafikiliaga uweze kuludiana na diamond mumetoka mbali sana nawaswahili wanasema ukipata chombo kipya usisahau chazamani nakuusu kuzaa utaza ishallah wakatiwako hujafika mama. 1
@
@happinessmataluma19486 years agoMaisha ya wemaa ni meyapenda sana nice wemaa. 8
@
@angelmirindi22346 years agoWema pole sana dada unatoka mbali mwenyezi mungu akurudishie haja ya moyo wako munatoka mbalina diamond. 1
@
@leilashaban35196 years agoNakupenda sana tz sweetheart madam wema isaac sepetu rudi kwa nasibu abduli mnapendezana mkiwa pamoja ludisha moyo nyuma achana na zari na move to wanasafiria nyota yako. 1
@
@wardasaid96056 years agoWema ananyota maashaallah nampenda wema. 7
@
@jacquelinemwaya81156 years agoMmesikiaa mara oo anajifanya kuongea kingereza amesoma huyo na ulaya kakaa nyodo tu za watu. 38
@
@joarymagaga90826 years agoDiamond kumbuka fadhila za wema alikuogesha ukang' ara mpaka huyo zar anakupenda usimdharau wema. 45
@
@angelmirindi22346 years agoMungu akusaidie dada pole sana tunakupenda. 7
@
@reginanaliaka2256 years agoWema isaacwe ni mwema kweli dah. Dada mola akujalie. 4
@
@angelmirindi22346 years agoMungu akuku mbuka wema i love u my lovely sister. 10
@
@yasintaswahasni47476 years agoNakupenda sana wemasepetu mana watu awajui undani wako wanakutukana to. 2
@
@dachichimbiaji37206 years agoWema upo vzr ni mtoto ulietoka kwenye familia ya kitajiri. 25
@
@nasabimohamed71066 years agoJaman wema sepetu nakukubali sana nakupenda sana nataman hat siku moja nikutane na ww love so much my dear. 1
@
@DominicaJMushi6 years agoNampenda sanaa wemaa jamanii bora afanye mpngo akapandikize mimba bwanaa wengi sanaa wanafanya hivyo wanafaidika. 3
@
@hellenkumbi68076 years agoJmn wema kumbe ni msomi, nahitaj kua msomi like she is coz she is my rollmodel, mungu akujalie upate mtoto jmn. 1
@
@jovinabunyomyo39936 years agoWema zamani alikuwa mzuri saaana pindi kapo kamodo. 5
@
@user-nn7fb4rd1i3 months agoNampenda sana wema jamani dada nakupenda sana.
@
@mwanaharusialifakifaki87166 years agoUnaweza hisi nakuchukia ila kunavsiku utaamini nakupenda sanaa.
@
@surujajwie47684 years agoMashaallah congratulation sweetheart tz. 1
@
@mwanaidimwabitibongo87246 years agoNitawapenda daima mondi na wema i lov u. 1
@
@zuhurazabiir37692 years agoWema ana moyo sana daimond kumbuka bila wema mm nisingekujua. 1
@
@rashidhemedrashid52695 years agoMie sijakupenda ww mtangazaji kwa kweli. 1
@
@deokisite10466 years agoPronounce words vizuri, tumia kiswahili usijifanye kuzungumza km mzungu wew mtangazaji. 6
@
@ramadhanjafari74916 years agoUmeji taidi kusimulia inavyo takiwa hongela sana dada.
@
@baudunekwizera68425 years agoAmeisha tapika asirudishe bitapikisho mu kinywa, uyo diamond siyo mume, ajibakiliye kwa uyo baba ujauzito mungu atawakumbuka watazaa tu.
@
@mimaakenirram14055 years agoMadam sepenga nakupenda kumbe joket mkubwa kwa wema pia napenda sana wakiwa na diamond.
@
@rizikimussa39446 years ago! Bas jaman rakini usjar bdosana utazaatu rakiniurifanya vibaya kutoa miba mwanadad. 7
@
@princenthoki35076 years agoWanadamu tunaudhaifu wakuongea ovyo bilaamenenewa mengi mabya kutukanwa eti ni tasa mambo mengi bila kuchunguza na kujua mwanzo kuongea mabaya kuhusu mtu twastahili kuomba mungu ili kila kitu kiwesi mtanzania lkn nampenda sana wema. ...Expand1
@
@ngemabohero28536 years agoWema sio mgomba dad muda bado muda ukifika utabeba kwa uwezo wa mungu. 2
@
@lailathmalick82836 years agoMmh nampenda xna wema nataman niwe kama ww nisaidie. 1
@
@omanioman89526 years agoKumbe ni mdogo maskini kuliko zari wanamuita ooo mtu mzima kumbe wala sio mtu mzima ni mwili tu maskini nampenda sana wema na diamonds. 19
Related videos for PROFILE: WEMA SEPETU, MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAISHA YAKE:
maskini kuliko zari
wanamuita
ooo mtu mzima kumbe wala sio mtu mzima ni mwili tu maskini nampenda sana wema na diamonds. 19