@kkjustn83852 years agoMungu naomba uzidi kunifunguwa maisha ya familia yangu yote amen.
@
@rizikichigodi43163 years agoAamina, nimepokeya wokovu wa kumiliki katika maisha yangu, kwa jina la yesu ameen.
@
@philenisonywoki25363 years agoAmen mungu ameondosha vikao vyote vya shetani juu ya maisha yangu na familia yangu katika jina la yesu amen.
@
@sabinaboas21323 years agoShika moto kiti cha enzi kwa jina la yesu.
@
@sweetletmushi14103 years agoAsante yesu kwa sjili ya mtumishi wako loringa.
@
@kelvinromwad17773 years agoNibariki magonjwa yote yatoke pia nifanikiwe katika maisha yangu.
@
@lydiamurugi11633 years agoMungu tuonekanie naleanga watoto wangu peke wangu na maisha wamekua mangumu sana kwangu. Pray for me.
@
@wivinekwinja98813 years agoNina imani mungu ananiona na mimi, jeshi la mbingini liende kishote kwangu kuliya kwangu mbele yangu nyumba yangu likae kwenye kiti cha shetani liondefeshe muchawi anae tesa familia yangu.
@
@wivinekwinja98813 years agoBarikiwa sana nabii wa mungu, nakufata baba yangu niko drc.
@
@rosekadi67773 years agoAki family wangu kuna kiti chaenzi chashetan mimi nimeokoka naombea sana ndungu wamepotelea kwaulevi ninauzu sana leo kiti chakuzim kinavunjika katika jina layesu nimebarikawa naneno la sunday.
@
@rosekadi67773 years agoAki mimi nina pata mume mzuli lakini penzi letu alidum nashida kuelewa wengine wamenizalisha watoto wamenizalisha.
Related videos for LIVE: IBADA YA JUMAPILI :