Duration 2:43

MDOMO UMEMPONZA YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA LUC AYMEL,UONGOZI WAMTAKA KUONDOKA HARAKA NCHINI

1 662 watched
0
4
Published 27 Jul 2020

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wao Luc Eymael kutoka na kutoa kauli za kibaguzi kwa mashabiki wa soka nchini baada ya mchezo wa mwisho wa ligi kuu bara dhidi ya Lipuli FC jana.

Category

Show more

Comments - 0